Thursday, August 5, 2010

BONGO BOMBA!

Niongeapo na waTanga,
Wengi hucheka wakitanga,
Lugha sanifu wamepanga,
Sauti yao ncha ya panga,
Hawana rabsha ya "makanga",
Watakukaribisha boda Namanga.
Utani kweli wao "humanga"
Wadada wajua hufunga kanga!
Fika Bongo upate visanga!
Ustaarabu hata kwa wachanga
Udugu kwao ni kama nanga
Wasanii kibao hata wa uganga!
Kufunga macho mjini janga!
Usishaangae huna shanga!2008©Meshack Sewe
 (My first attempt at writing a poem("shairi) in  Swahili language)
Post a Comment

WHO WOULD TELL?

Born deaf to pleading voices of reason… Virtues roasted in sooty smokes each season… Rusty pride and arrogance of d...